Cookie preferences

Faved uses necessary cookies that are essential to use the service and for us to provide a better user experience. Read more about our cookies.
Accept cookies

ujifunzaji wa masomo nje ya darasa (michezo)

په Numeracy

دا تمرین چمتو شوی له اړخه ده Winfrida Komba
visibility 96
favorite_border 1
chat_bubble_outline 1 وګورئ
favorite_border د خوښې تمرین

فرعي کټګورۍ او ټېګونه

Faved له اړخه د

تفصیل

Wanafunzi kutokuwa makini darasani kwa kuwaza michezo. Wanafunzi wanaenda kujifunza huku wakiwa wanacheza michezo wanaocheza kila siku

د نورو ښوونکو لپاره ګام په ګام لارښوونې

1.kutambua michezo wanayoipenda na kucheza muda wote wanafunzi wakiwa shuleni na nyumbani
2. Baada ya kuitambua unaenda kuibadili na kuona namna watakavyokuwa wanacheza huku wakijufunza
3. Baada ya hayo utaingia darasani kufundisha mada kama kawaida na zana baada ya kumaliza maada. Wanafunzi watenda kufanya marudio ya mada hiyo uwanjani huku wakiwa wanacheza michezo
4. Mfano wa michezo hiyo ni mpira wa miguu,handball,rede na kuruka kamba

د څه ډول پایلو باید هیله ولرئ؟

پایلې

1.wanafunzi wanafurahia ujifunzaji wakiwa nje ya darasa. 2.imeongeza umakini katika ujifunzaji 3.wanafunzi wanajifunza kwa ushindani 4.somo linaelewaka kwa urahisi 5.wanafunzi wanajifunza huku wakiwa wanacheza 6.imewajengea kuwa na kumbukumbu ya muda mrefu 7.imeongeza mahudhurio ya wanafunzi
خپل نظر ورکړئ

Fave the practice to be able to join the discussion and comment favorite_border د خوښې