Cookie preferences

Faved uses necessary cookies that are essential to use the service and for us to provide a better user experience. Read more about our cookies.
Accept cookies

Jiunge kwenye jumuiya ya uvumbuzi wa mbinu mpya za kufundisha

Faved ni huduma ya umma isiyolipishwa, inayotumiwa na kuidhinishwa na walimu kwa madhumuni ya kushiriki mbinu bora za kufunza darasani.

Ingia

Je, uko tayari kujaribu mbinu mpya?

Vinjari mbinu ambazo zimejaribiwa madarasani.

Gundua

Tungependa kupata maoni yako!

Wewe ni miongoni mwa watu wa kwanza kujaribu Faved. Jambo zuri iliyoje! Je, unaweza kutupa maoni yako?

Toa maoni

Shiriki na uwasiliane na wengine

Fahamu jinsi Faved inavyofanya kazi na ujiunge na jumuiya inayochipuka

play_arrow

Kufundisha kunaweza kuwa kazi ya pamoja pia!

Mbinu madhubuti za kufundisha zitapitishwa na kushirikiwa

Jisajili kupokea arifa za barua pepe kutoka Faved ili usipitiwe na taarifa na habari za kusisimua

Ukuzaji wa taaluma ya ualimu umerahisishwa

Walimu ndio weledi zaidi katika kuwafundisha wanafunzi. Faved ni huduma isiyolipishwa inayowasaidia walimu kubadilishana mawazo na kuwaimarisha wanafunzi kimasomo kwa kushiriki mbinu ambazo zimejaribiwa na kutathminiwa darasani kote ulimwenguni.

Faved ilipokea Tuzo la Promising Innovation Award kwenye warsha ya Jacobs Foundation MIT Solveathon mnamo Juni 2021. Huduma hii iliyoundwa na HundrED na Schools2030, sasa inapatikana kwenye simu za mkononi na inaendelezwa kwa ushirikiano na walimu wanaoshiriki katika mpango wa Schools2030. Pakua kutoka kwenye Google Play Store na App Store.

Kwa ushirikiano na