Mbinu za kuhimiza uwezo wa kujieleza, usanifu, sanaa na uundaji
Kupima umbali kwa kutumia vitu tofauti, na kulinganisha na kupanga umbali kuanzia fupi hadi ndefu zaidi. Husaidia kukuza ubunifu na uwezo wa kufikiria.
Kuainisha vitu katika vikundi kulingana na sifa zao tofauti. Hii husaidia katika ustadi wa kufanya maamuzi wakati wa kuchagua vitu na picha. Pia husaidia kukuza ubunifu na uwezo wa watoto kufikiria wanapoamua jinsi ya kuunda na kupamba vitabu vyao vya picha