Mbinu za kuboresha stadi za kuhesabu na hisabati
Zoezi hili linalenga kuboresha utambuzi wa nambari, na usawazishaji wa upande wa kulia na wa kushoto katika hali mbalimbali.
Kulinganisha na kuweka katika vikundi, husaidia katika utambuzi wa nambari, umakinifu na kumbukizi.