Mbinu za kuwasaidia vijana kuwa raia wa kimataifa wanaowajibika, na kuheshimu utofauti na mazingira
Kuelezea kuhusu eneo kwa kutambua vitu muhimu na kutumia michoro kuonyesha eneo lilivyo. Hii husaidia watoto kuelewa waliomo katika jamii yao wanapojifunza kuhusu vitu na maeneo muhimu mahali walipo.