Cookie preferences

Faved uses cookies to enhance user experiences, to personalise content, and analyse our web traffic. By clicking "Accept all" you agree to the use of all cookies, including marketing cookies that may help us deliver personalised marketing content to users. By selecting "Accept necessary" only essential cookies, such as those needed for basic functionality and internal analytics, will be enabled.
For more details, please review our Cookie Policy.
Accept all
Accept necessary

Geuza Blanketi

дар Stadi za Kijamii

verified Verified practice
Таҷриба эҷод шуд аз ҷониби Faved Organisation
F
favorite_border Таҷрибаи Fave

Зеркатегорияҳо ва тегҳо

Тавсиф

Kujifunza jinsi ya kutoa na kufuata maagizo yaliyotolewa na wanakikundi/kiongozi wa kikundi.

Дастурҳои қадам ба қадам барои дигар муаллимон

Watoto hugawanywa wawili wawili huku mtoto mmoja akichaguliwa kuwa kiongozi.

Tandaza blanketi chini. Wachezaji hawa wawili wataanza kwa kusimama kwenye blanketi.

Wawili hao sharti washirikiane kupindua blanketi bila mmoja wao kutoka kwenye blanketi au kugusa chini. Kiongozi ataamua mkakati na kuongoza kikundi.

Mmoja wao akigusa chini, mchezo utaanza upya.

Baada ya kukamilisha, waulize watoto kuhusu utatuzi wa matatizo na mikakati tofauti waliyobuni.

Waulize watoto kile ambacho wamejifunza kuhusu uongozi wa marafiki zao kitakachowasaidia kushirikiana kama timu.

НАЗАРИ ХУДРО БАЁН НАМОЕД

Fave the practice to be able to join the discussion and comment favorite_border Fave