Mbinu za kuboresha stadi za kihisia kwa wanafunzi, ikijumuisha kujidhibiti, kujitambua na kujitegemea
Kutumia hisia za watoto kutambua vitu kulingana na umbo na ulaini.
Kutambua njia mbalimbali za kuonyesha wema.